Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.Paul Christian Makonda akisaini kitabu cha wageni mara baada ya kuwasili kwenye Ofisi za Chama cha Mapinduzi Wilaya ya Arusha mapema leo Mei 30, 2024.
Mhe.Makonda amefika kwenye ofisi hizo kwa mara ya kwanza kwa ajili ya salamu ikiwa ni muendlezo wa ziara yake ya siku sita ya kikazi katika wilaya za mkoa huo wa Arusha, ziara inayokwenda kwa jina la 'Siku 6 za Moto Arusha'
Mhe. Makonda licha ya kusaini kitabu cha wageni amepata wasaa wa kufanya mazungumzo mafupi na uongozi wa CCM wilaya hiyo.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.