• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

RC MAKONDA AWASILI OFISI ZA CCM WILAYA YA KICHAMA YA ARUMERU; ASISITIZA KUTORUDI NYUMA KWENYE MPAMBANA DHIDI YA WAZEMBE NA WABADHILIFU

Posted on: May 27th, 2024

Na Elinipa Lupembe

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda amewasili kwenye Ofisi za Chama Cha Mapinduzi, wilaya ya kichama ya Arumeru na kupokelewa na Mwenyekiti wa CCM Arumeru Ndugu Noel Severe na kuzungumza na Maafisa na viongozi wa CCM muda mfupi kabla ya kuanza ziara yake kwenye halmashauri ya Arusha, na kusisitiza kutokurudi nyuma kwenye mapambano dhidi ya wazembe na wabadhilifi mapema  leo Mei 28, 2024.

Mhe. Makonda ametoa kauli hiyo mara baada ya kupata salamu za pongezi kutoka kwa Chama Cha Mapinduzi Wilaya ya Arumeru, wakimtaka kutokurudi nyuma katika kuhakikisha Ilani ya Chama na maelekezo ya Serikali ya awamu ya sita yanatekelezwa kikamilifu na wasaidizi wake ngazi ya Mkoa.

Ameweka wazi kuwa, kamwe hatoacha kuwafichua na kuwawajibisha wazembe, wabadhirifu na watendaji wavivu wanaokwamisha juhudi za Rais Samia Suluhu Hassan katika kuwaletea wananchi maendeleo na kutaka aachiwe wakosoaji hao kwani anawamudu kikamilifu.

"Kelele za ukosoaji unaoelekezwa kwangu zinampa ari na nguvu zaidi ya kufanya kazi ya kuwatumikia wananchi wa Arusha na kuhakikisha haki inatendeka"Amesema

Hata hivyo, Mhe. Makonda amekiomba Chama Cha Mapinduzi kuendelea kuwa jicho la kubaini na kueleza kuhusu kukwama kwa miradi mbalimbali na kuwataja kwa majina watendaji vikwazo wanaozembea katika kuwatumikia wananchi na kutekeleza ilani ya Chama hicho tawala nchini Tanzania.

Aidha Mhe. Makonda amesema Mkoa wa Arusha unapaswa kuondokana na malumbano ya kisiasa na badala yake wawekeze kwenye uchumi kwa kuhakikisha kila mwananchi ananufaika na fursa na mazingira mazuri ya kibiashara na uwekezaji yaliyowekwa na serikali ya Rais Samia Suluhu Hassan.

Mhe. Mkuu wa Mkoa wa Arusha ameingia kwenye wilaya ya nne miongoni mwa wilaya sita za Mkoa wa Arusha ikiwa ni muendelezo wa ziara yake ya "Siku sita za moto" na amebainisha kuwa ataendelea kushughulika vilivyo na wazembe, wavivu na watendaji wenye kuendekeza vitendo vya rushwa na kuzalisha migogoro na kero mbalimbali.


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA AFUNGUA MKUTANO WA 33 WA WAKUU WA MAJESHI YA ULINZI (SADC).

    May 30, 2025
  • SAMIA MOTOCROSS CHAMPIONSHIP KUREJEA MSIMU WA PILI JULAI 12, 2025

    May 27, 2025
  • MKOA WA ARUSHA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUBWA WA WAKUU WA MAJESHI WA SADC

    May 25, 2025
  • UJENZI WA UWANJA WA AFCON ARUSHA SIO MICHEZO TU, NI FURSA YA KIUCHUMI

    May 24, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.