• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

RC MAKONDA AWATAKA WANANCHI WENYE KERO / KESI ZA UKATILI WA KIJINSIA KUZIWASILISHA KWENYE OFISI YA MKUU WA MKOA HUO

Posted on: July 11th, 2024


Na Elinipa Lupembe 


MKUU wa Mkoa wa Arusha,  Paul Makonda amewataka wananchi wenye kero au kesi za masuala ya ukatili wa kijinsia ikiwemo ubakaji na ulawiti ambazo hazijapatiwa ufumbuzi kwa muda mrefu, kufika ofisini kwake Julai 11, 2024 kwaajili ya kufahamu sababu zinazokwamisha kesi hizo na nani anazikwamisha ili kuwezesha wahanga kupata haki zao huku wahusika kupelekwa kwenye vyombo vya sheria


Makonda aliyasema hayo alipokutana na wadau wa  Mashirika na Asasi zisizo za  Kiserikali, zinazotengeneza faida zinazoshughulika na Maendeleo na huduma za jamii baada ya kuibuka hoja mbalimbali za matukio ya ulawiti na ubakaji ikiwemo mienendo ya kesi zinazopelekwa polisi na mahakamani ikiwemo vituo vya afya.


Amesema kuwa, suala la ubakaji na ulawiti kwa Mkoa wa Arusha limekuwa ni kero kubwa kwa jamii lakini kunabaadhi ya wazazi na walezi hawawajibiki ipasavyo kutokana na wazazi kuwa makini zaidi kutafuta hela na kuwaachia wadada wa kazi majukumu ya familia huku baadhi yao wakilawitiwa na kubakwa kutokana na uangalizi hafifu


"Hizi kesi za ubakaji na ulawiti zinasikitisha sana lakini lazima tutafute kiini chake na kunakesi moja nimeisikiliza na Mkurugenzi wa Husna Foundation, Husna Almasy ametupa uelewa kuwa mama mzazi wa mtoto huyo  anajua vema aliyemlawiti mtoto wake lakini anatumia mbinu ya kusingizia watoto wengine kumbe mhusika mkuu anamjua"


Alisema yeye Rc Makonda ni  mpole kuliko watu wengine Duniani lakini katika jambo la ulawiti na ubakaji ila ikidhibitika huyu mama anajinufaisha na tukio hili asije kunilaumu nitachukua  hatua dhidi ya sakata la mtoto wa miaka mitatu wakiume kufanyiwa ukatili huku mzazi wa mtoto huyo akificha ukweli wa tukio zima.


Alisisitiza  kila  wazazi na mlezi kusimama imara katika kulinda watoto wasifanyiwe ukatili ikiwemo utaoji wa taarifa ili kufanyiwa kazi na haki ipatikane ikiwemo kuhakikisha maadili yanazingatiwa na ulinzi wa watoto ni jukumu la kila mmoja


Pia aliagiza watu wote  waliofanyiwa ukatili kwa watoto kubakwa au kulawitiwa na kesi zao hazijulikani zimeishia wapi wafikie ofisini kwake siku ya alhamisi hii ili waweze kusema ukweli na kujua zimekwama wapi na 


Awali mmoja kati ya wadau kutoka Husna Foundation,Husna Almasy alisema si kweli tukio la ulawiti la mtoto  wa miaka mitatu kudaiwa kulawitiwa na watoto wenzie Jijini Arusha, si la kweli bali uhalisia wa mtoto huyo kulawitiwa na kesi kushindwa kufikishwa mahakamani kwa madai kuwa waliotenda tukio hilo hawawezi kukabiliwa na kesi ya jinai kutokana na miaka yao kuwa chini ya umri wa kushtakiwa kwa kosa hilo anajua mama mzazi wa mtoto huyo aitwaye Laightness anaujua na vipimo vya daktari zinaonyesha aliyafanya tukio hilo ni mtu mzima na si watoto kama mama anavyodai


 Almasy  alisema ni kweli watoto walikamatwa na kupelekwa kituo cha Polisi Murriet lakini uhalisia wa tukio hilo mama mzazi wa mtoto huyo aitwaye Lightness anajua ukweli wa tukio hilo na aliyefanya tukio la ulawiti wa mtoto huyo anamjua lakini hasemi ukweli badala yake anasingizia watoto wanaoishi mitaani


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.