Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda akizungumza na wafanyabiashara wa Mkoa huo wakati wa Kikao cha Waziri wa Viwanda na Biashara Mhe. Dkt.Selemani Jafo (Mb) Selemani S . Jafo na wafanyabiashara hao wakati wa ziara yake Agosti 24,2024.
Katika kikao hicho Mhe. Makonda ameahidi kushirikiana na Wizara ya Viwanda na Biashara, Ofisi ya Rais Mipango na Uwekezaji, Wizara ya Fedha na TAMISEMI ili kuhakikisha changamoto zote za wafanyabiashara zinatatuliwa kwa hatua ili kuhakikisha viwanda vyote mkoani humo vinafanya kazi na Mkoa wa Arusha unakiwa Mkoa wa Mfano katika kuendeleza viwanda na kukiza biashara.
Uwekezaji Viwanda Biashara Ofisi ya Rais - Tamisemi rais
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.