• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

RC MAKONDA KUANZA ZIARA YA KIKAZI KWENYE WILAYA ZA MKOA WA ARUSHA...

Posted on: May 24th, 2024

Elinipa Lupembe

Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. Paul Christian Makonda, ametangaza kuanza kwa ziara ya kikazi ya siku 6 ya ya kukagua utekelezaji wa Miradi ya Maendeleo inayotekelezwa na Serikali ya  awamu ya sita chini ya Jemadari Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan pamoja na Kufanya Mikutano ya Hadhara kwenye halmashauri sita za Mkao wa Arusha.

Akizungumza wakati wa uzinduzi wa Magari ya Jeshi la Zimamoto na Ukoaji Mkoani Arusha, Mhe. Makonda amesema katika mikutano ya hadhara atasikiliza na kupokea kero za wananchi wa maeneo hayo ja kuwataka Watendaji wa ngazi zote kuanzia ngazi ya Mtaa/ kitongoji, Kijiji, Kata, halmashari, Wilaya hadi  Mkoa kujiandaa ipasavyo kuwa na majibu ya kero hizo na kueleza kuwa, hatovumilia uzembe, ubadhirifu ama kusuasua kwa miradi ya maendeleo kunakofanywa kwa makusudi na baadhi ya watendaji.


Mhe. Mkuu wa mkoa amewasisitiza wananchi wote wa mkoa wa Arsuha kuhudhuri Mikutano hiyo ya Hadhara katika halmashauri zao kwa tarehe zilizopangwa ili kuweza kuzungumza pamoja na wenye kero kuziwasilisha kupitia mikutano hiyo huki akendelea kuahidi kuwa wananchi wote walodhulumiwa haki zao atahakikisha wanarejeshewa.

"Mkoa wa Arusha unatakiwa kuwa namba moja katika usimamizi wa haki, kupiga vita vitendo vya rushwa, dawa za kulevya pamoja na kuwa kinara katika uwajibikaji na kuwa nguzo kuu ya watendaji wote wa mkoa wa Arusha.

Ziara hiyo itaanza rasmi siku ya Alhamisi ya Mei 23, 2024 katika wilayani Longido kabla ya kuelekea Halmashauri ya Karatu Mei 24, Monduli Mei 25, Mei 28 halmashauri ya Arusha, halmasahuri ya Meru Mei 29, 2024 na hitimisho la siku zake sita litakuwa kwenye Jiji la Arusha tarehe 30, Mei 2024.

Mhe. Mkuu wa Mkoa ametoa rai kwa wananchi kujitokeza kwa wingi kwenye mikutano yake ya hadhara na kuja kusema kuhusu haki zao zilizoporwa ama kuhusu watendaji wasiowajibika kikamilifu katika kumsaidia majukumu Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dkt. Samia Suluhu Hassan.

Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA AFUNGUA MKUTANO WA 33 WA WAKUU WA MAJESHI YA ULINZI (SADC).

    May 30, 2025
  • SAMIA MOTOCROSS CHAMPIONSHIP KUREJEA MSIMU WA PILI JULAI 12, 2025

    May 27, 2025
  • MKOA WA ARUSHA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUBWA WA WAKUU WA MAJESHI WA SADC

    May 25, 2025
  • UJENZI WA UWANJA WA AFCON ARUSHA SIO MICHEZO TU, NI FURSA YA KIUCHUMI

    May 24, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.