• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

RC MAKONDA NA BALOZI WA INDIA NCHINI BISHWADIP WEY WAJA NA FURSA ZA KIUCHUMI KWA VIJANA WA ARUSHA.

Posted on: March 13th, 2025

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda leo Alhamisi Machi 12, 2025, amekutana na kuzungumza na Balozi wa India nchini Tanzania Mhe. Bishwadip Wey, wakikubaliana kukuza na kuimarisha mahusiano ya pande hizo mbili katika kuhakikisha kuwa wananchi wa Arusha wananufaika na fursa mbalimbali kutoka nchini India.



Katika mazungumzo yao, Mhe. Makonda na Balozi Wey wamejadiliana na Mkoa wa Arusha kupata fursa ya mambo matano ikiwemo, Kongamano kubwa litakalofanyika Mwezi Mei mwaka huu, ambapo atakuwepo Profesa nguli kutoka nchini Marekani kutoa  elimu kuhusu akili mnemba (Artificial Inteligence) kwa vijana wa Arusha.



Aidha, wamejadiliana kuanzisha mahusiano na Chuo cha Zanzibar kinachofadhiliwa na serikali ya India, katika kushirikiana pamoja na mkoa wa Arusha katika matumizi ya Teknolojia ya Akili mnemba katika utendaji wa kazi.



Viongozi hao pia katika mazungumzo yao wamekubaliana kuanzisha kilimo cha mitishamba inayotumika katika utengenezaji wa dawa za asili chini ya usimamizi wa Chuo kikuu cha Nelson Mandela.



Pia wamejadili kuhusu nchi ya India kutoa fursa za ufadhili wa masomo kwa vijana takribani 1000 watakaokuwa na fursa za kusoma kozi mbalimbali sambamba na ufadhili wa wapishi 50 watakaoenda kupata mafunzo ya upishi wa vyakula vyenye ladha ya kihindi ili kuvutia watalii kutoka nchini humo watakaokuja Tanzania.



Fursa nyingine iliyopatikana katika mazungumzo ya Mhe. Makonda na Balozi huyo wa India nchini Tanzania ni pamoja na kuimarisha kilimo cha maembe mkoani Arusha kutokana na uhakika wa soko linalopatikana nchini India, ambapo raia wa nchi hiyo wamekuwa na uhitaji mkubwa wa Unga unaotokana na tunda la embe kwaajili ya matumizi mbalimbali.


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA AFUNGUA MKUTANO WA 33 WA WAKUU WA MAJESHI YA ULINZI (SADC).

    May 30, 2025
  • SAMIA MOTOCROSS CHAMPIONSHIP KUREJEA MSIMU WA PILI JULAI 12, 2025

    May 27, 2025
  • MKOA WA ARUSHA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUBWA WA WAKUU WA MAJESHI WA SADC

    May 25, 2025
  • UJENZI WA UWANJA WA AFCON ARUSHA SIO MICHEZO TU, NI FURSA YA KIUCHUMI

    May 24, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.