• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

RC MONGELLA AAGIZA KUONGEZA KASI YA UJENZI JENGO LA OPD KITUO CHA AFYA LEVOLOSI....

Posted on: December 21st, 2023

Na Elinipa Lupembe


Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mhe. John V.K Mongella,ametembelea na kukagua maendeleo ya ujenzi wa jengo la wagonjwa wa nje (OPD), Kituo cha afya Levolosi, Jiji la Arusha ikiwa ni ziara yake ya kawaida ya kikazi leo 21 Desemba, 2023.


 Akikagua maendeleo ya mradi huo, ambao mpaka sasa jengo liko hatua ya msingi na kufikia asilimia 22 ya ujenzi, Mhe. Mongella, ameagiza uongozi wa Jiji la Arusha, kuongeza kasi ya ujenzi wa jengo hilo ili liweze kukamilika kwa wakati na kuanza kutoa huduma kwa wananchi, ambalo ndilo lengo la Serikali.


Amweka wazi kuwa, lengo la Serikali ya awamu ya sita chini ya Mhe. Rais Dkt. Samia ni kuhakikisha wananchi wake wanapata huduma za afya karibu na maeneo yao, na ndio sababu ya kusogeza huduma  za kijamii kwa wananchi, hususani huduma za afya kwa kujenga na kuboresha miundombinu ya huduma za afya nchini.


"Kama Serikali imeshatoa fedha za mradi, ni jukumu letu watalamu kuhakikisja mradi unakamilika kwa wakati na kwa kuzingatia viwango vya ubora vinavyoendana na thamani ya fedha, wananchi wanahitaji huduma, tusiwacheleweshe kupata huduma, simamieni ujenzi ukamilike". Amesema  Mhe. Mongella


Akisoma taarifa ya Mradi, Mhandisi wa Ujenzi, Jiji la Arusha, Mhandisi Jacob Mwakyambiki, amesema kuwa, mradi huo wa jengo la OPD Kituo cha Afya Levolosi, utagharimu kiasi cha shilingi bilioni 1.2 mradi ambao umefikia asilimia 22  ya utekelezaji wake na unategemea kukamilika ifikapo mwezi Aprili 2024.


Amefafanua kuwa, mradi utahusisha jengo hilo lenye sakafu mbili (horofa mbili) sakafu ya chini, ikiwa na Idara ya ushauri wa madaktari, idara ya mionzi yenye huduma za Xray  na Utra sound, idara ya Dawa, maabara na Min theatre,


Ameongeza kuwa, sakafu ya kwanza, ikijumuisha idara ya meno, macho, ushauri wa madaktari, huku sakafu ya pili ikiwa na wodi ya wanawake, wanaume, watoto pamoja na vyumba na ofisi za watumishi


Mkuu wa Mkoa wa Arusha amefanya ziara ya kukagua hali ya utekelezaji wa miradi ya maendeleo jiji la Arusha katika sekta ya afya, elimu na uwekezaji.



Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.