• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

RC MONGELLA AKAGUA UJENZI WA MIUNDOMBINU;  SHULE YA  SEKONDARI YA WASICHANA ARUSHA....

Posted on: December 21st, 2023

Mkuu wa mkoa wa Arusha ametembelea na kukagua maendeleo ya mradi wa miundombinu ya Shule ya Sekondari ya Wasichana Arusha leo tarehe 21 Desemba, 2023.


Mhe. Mongella amemuagiza mkuu wa shule hiyo,  kuwasimamia walimu na wanafunzi, katika suala zima la utunzaji wa vifaa vya shule, ikiwemo majengo, kwa kuweka utaratibu wa utunzaji wa vifaa na majengo ya shule, ili yaweze kudumu kwa miaka mingi na kutumika kwa vizazi vijavyo.


Wakati huo huo, amewasisitiza walimu na kamati za shule, pindi fedha za ujenzi wa madarasa zinapokuja  kwenye madarasa mawili iongezwe ofisi ya walimu, hata kama haiopo kwenye michoro ya ramani, jambo ambalo litapunguza gharama nyingine za ujenzi wa ofisi lakini zaidi litawezesha walimu kuwa karibu na wanafunzi na kurahisisha usimamizi.


"Tumeshakubaliana katika mkoa wa Arusha, tukipata za ujenzi wa vyumba viwili vya madarasa, tuweke ofisi ya walimu katikatim  kwa fedha hizo hizo, hii inawezekana na imeshafanyika halmashauri zote za mkoa, na haya ndio  makubaliano yetu kama mkoa" Amesisitiza Mkuu huyo wa mkoa


Akiwasilisha taarifa ya mradi huo, Mkuu wa shule hiyo Mwl. Mwasisiti Kinyau, amebainisha kuwa, mradi huo unatekelezwa kwa gharama ya shilingi milioni 679.1, ukiwa umejumuisha ujenzi wa vyumba 15 vya madarasa, ambweni mwawili na matundu 21 ya vyoo, unatekelezwa na Serikali kwa kushirikiana na Kampuni  Barrik Gold Tanzania.


#arushafursalukuki

Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.