• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

RC MONGELLA AWAKARIBISHA WAHANDISI ARUSH.A

Posted on: November 30th, 2023

Na Elinipa Lupembe

Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John V.K.Mongella, amewakaribisha Wahandisi wote walioshirikia Mkutano wa 32 waTaasisi ya Wahandisi Tanzania (IET), mkoani Arusha, alopoapata nafasi ya kutoa salamu za mkoa, mkutano unaofanyika, kwenye Kituo cha Mikutano ya Kimataifa Arusha (AICC) Mkoani Arusha.

Mkuu huyo wa Mkoa ametumia fursa hiyo kwanz kuwashukuru waandaaji wa mkutano huo, kwa kuchagua mkoa wa Arusha, kufanyika mkutano huo, muhimu kwa maendeleo nchi ya Tanzania na kuwataka wajisikie wapo nyumbani wawapo Arusha.

Aidha amewaahidi kuwapa ushirikiano pindi unapohitajiaka huku akiwahakikishia usalama wao, muda wote wawapo Arusha na kuwataka kufurahia hali ya hewa nzuri ya mkoa wa Arusha, inayovutia kwa kila mgeni ajaye mkoani hapo.

"Kwa niaba ya viongozi na wananchi wa mkoa wa Arusha, ninawakaribisha wote Arusha, mkoa huu ni moja ya mikoa ambayo inavivutio vingi vya utalii, tumieni wasaa huu kutembelea vivutio hivyo" Amesema  Mhe. Mongella.

Hata hivyo, ameweka wazi kuwa, Wakuu wa mikoa wanatambua kazi kubwa inayofanywa na Wahandisi,  kwenye Mikoa na Mamlaka za Serikali za Mitaa, kazi ambazo ndio nguzo za maendeleo ya wananchi na taifa kwa ujumla.

"Miradi  inayotekelezwa kwenye mikoa na Mamlaka zake, inafanywa na Wahandisi, sisi kama wakuu wa mikoa, kwa niaba ya wakuu wa mikoa wenzangu, muda wote huwa, tunajisifu kwa kujinasibisha na kazi zinazofanywa na wahandisi kwenye maeneo yetu" Mhe. Mongella

Awali, Mkutano huo umefunguliwa ma Waziri wa Ujenzi Mhe. Innocent Bashungwa (MB), kwa kufunga  kwa niaba ya Waziri Mkuu, Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, wenye dhima ya Suluhu za Ubunifu katika Uhandisi kwa maendeleo endelevu.

Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.