Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John V.K Mongella amesaini kitabu cha Maombolezo kufuatia kifo cha Rais Mstaafu wa Awamu ya pili Hayati Ali Hassan Mwinyi kilichotokea Februari 29, 2024.
Mhe. Mongella amesaini kitabu hicho kilichoandaliwa na Ofisi yake na kuruhusu wakazi wote wa Arusha Kuomboleza Kifo cha Hayati Ali Hasaan Mwinyi kwa Kufika ofisini hapo kusaini Kitabu hicho cha Maombolezo kwa siku 7 ambazo Mhe. Rais Dkt Samia Suluhu Hassan amezitangaza.
Inna Lillah Waina Ilah Roj'un
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.