Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. John V.K Mongella akiwapongeza Wajumbe wapya wa Mabaraza ya Ardhi wilaya za Arumeru, Karatu na Longido mara baada ya wajumbe hao kula Kiapo cha kuzitumikia nafazi hizo kwa mujibu wa sheria.
Mabaraza upya Ardhi wilaya yanaundwa kwa Sheria ya Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi sura ya 216 yakiwa na jukumu la kusikiliza kesi za ardhi katika maeneo yao na kufanya maamuzi.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.