RC MONGELLA AWASILISHA RASIMU YA BAJETI YA MKOA WA ARUSHA MWAKA 2024/2024 KWA KAMATI YA BUNGE OR-TAMISEMI
9
Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. John V.K Mongella akiwasilisha Rasimu ya Bajeti ya shilingi Bilioni 439.76 za Mkoa wa Arusha kwa Mwaka 2024/2025 Mbele ya Kamati ya Bunge Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa - TAMISEMI, jijini Dodoma, Machi 27, 2024
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.