Mkuu wa Mkoa wa Manyara Mhe.Queen Sendiga akikagua banda la TPHPA wanaojishughulisha na uandaaji wa viwatilifu kwa ajili ya kuua wadudu wasumbufu wa mimea na mazao, kwenye Maonesho ya Nanenane Kanda ya Kaskazini, yanayofanyika kwenye viwanja vya Nanenane Themi -Njiroa mkoa wa Arusha, tayari kwa kufunga Maonesho ya NaneNane na sherehe za wakulima mwaka 2024.
Pichani Mhe. Queen akiangalia aina ya wadudu waharibufu na teknolojia ya kuangamiza wadudu hao.
Kauli Mbiu: " Chagua Viongozi Bora wa Serikali za Mitaa kwa Maendeleo Endelevu ya Kilimo, Mifugo na Uvuvi"
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.