• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

SERIKALI YA AWAMU YA SITA IMEFANYA MAENDELEO MAKUBWA KISEKTA...

Posted on: May 1st, 2024

Na Elinipa Lupembe

Imeelezwa kuwa, Serikali ya awamu ya sita, chini ya uongozi wa Mhe. Rais, Dkt. Samia Suluhu Hassan, imefanya mapinduzi makubwa ya maendeleo katika seka zote, kisiasa, kiuchumi na kijamii, maendeleo ambayo yamewagusa wananchi moja kwa moja katika maeneo yao.

Hayo yameelezwa na Waziri wa Nchi, Ofisi ya Waziri Mkuu, Kazi, Vijana, Ajira na Wenye Ulemavu Mhe. Deogratius Ndejembi, wakati akizungumza kwenye Maadhimisho ya Sikukuu ya Wafanyakazi Duniani Mei mosi, iliyofanyika kitaifa mkoa wa Arusha, kwenye Uwanja wa Sheikh Amri Abeid, Mei 01, 2024.

Mhe.Ndejembi, amesema kuwa, kila mtanzania  ameshuhudia maendeleo makubwa kwenye sekta zote kisiasa, kiuchumi na kijamii, bila kuwacha nyumma wafanyakazi, kukiwa na ongezeko kubwa la ajira mpya zinazoendelea kutangazwa, kupanda kwa madaraja, nyongeza za mishahara na mazingira ya kufanyia kazi yakiendelea kuboreshwa.


"Mheshimiwa Makamu wa Rais, Ofisi ya Waziri Mkuu yenye dhamana ya kazi, itaendelea kuimarisha utatu kwa kushirikiana na vyama vya wafanyakazi na waajiri katika kusimamia utekelezaji wa sheria, kanuni na taratibu za kazi kwa lengo la kuimarisha mahusiano mema mahala pa kazi". Amesema Mhe. Ndejembi

Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.