• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

SERIKALI YASISITIZA KUWAPA ELIMU YA UJASIRIAMALI WARAIBU WA DAWA ZA KULEVYA...

Posted on: June 24th, 2024

Serikali imesisitiza kuwekeza nguvu zaidi kwa watu walioathirika na urahibu wa dawa za kulevya, kwa kuwapatia huduma stahiki ikiwemo kuwarudisha katika maisha yao ya kawaida kwa kuwapatia elimu ya ujasiriamali sanjari na mikopo.

Rai hiyo imetolewa na Mganga  Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Dkt. Charles Mkombachepa  kwa niaba ya akimuawakilisha Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda wakati wa  Maadhimisho ya siku ya kimataifa ya kupinga Dawa za kulevya Duniani Kanda ya kaskazini yaliyofanyika Jijini Arusha kwa ushirikiano na DCEA Kanda ya kaskazini na  Kanisa la wasabato, yenye kauli mbiu; "wekeza kwenye Kinga na tiba dhidi ya dawa za kulevya".

Amesema kuwa, Serikali imewekeza katika elimu ya kupiga vita matumizi ya dawa za kulevya hudusani kwa vijana pamoja na  kuwahudumia waraibu hivyo ni vema kwenda mbele zaidi katika kuwajengea uwezo wa kujikwamua kiuchumi kwa kuwapa elimu ya ujasiamali

hiyo inatoa ujumbe wa kutia nguvu kuikinga Jamii hususani vijana wasijihusishe na matumizi na uuzwaji wa dawa za kulevya pia wale wote waliothirika na matumizi warahibu tuwekeze kuwapatia matibabu ya urahibu wa dawa za kulevya na Elimu ya kuwarudisha katika Maisha.

Naye, Afisa Ustawi na Elimu DCEA Kanda kaskazini, Sarah Ndaba, amesema DCEA Kanda hiyo, itaendelea kuratibu shughuli  za kudhibiti na kupambana na dawa za kulevya katika Mikoa  Tanga, Arusha, Kilimanjaro na Manyara, ikiwa ni pamoja na kuelimisha, kutoa huduma za ustawi wa jamii pamoja na operesheni dhidi ya wahalifu wote wa dawa za kulevya.

"Tumeamua kushirikiana na kanisa la Wasabato sababu upo uhusiano mkubwa kati ya watu kujihusisha na matumizi au biashara haramu ya dawa za kulevya  na kukosa Imani ya Mungu na malezi ya kidini tunaamini madhehebu yote hayaruhusu waumini wao kujihusisha na dawa za kulevya hivyo,  tukaamua kuunganisha nguvu, ikiwa dini zote zinapinga vita dawa za kulevya pia tumetoa Elimu kwa makundi ya watu 300,000 kuanzia juni 2023 hadi Juni 2024.

Akitoa ushuhuda Mmoja ya aliyekuwa muathirika wa dawa hizo Fredrick Remmy amesema zamani  hatukuwa na Elimu ya dawa za kulevya ndio maana wengi wetu waliangamia


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.