Taasis ya Mwalimu Nyerere yatoa mafunzo kwa watumishi na viongozi wa Mkoa wa Arusha juu ya Uongozi bora, Ujamaa na Kujitegemea.
Mkurugenzi Mtendaji wa Taasis ya Mwalimu Nyerere Joseph Butiku akiwa kwenye picha ya pamoja na viongozi wengine wa taasis hiyo na viongozi wa Halmashauri za Mkoa wa Arusha, baada ya kumaliza kikao kazi.
Baadhi ya Viongozi wa Mkoa wa Arusha pamoja na watendaji wa Mkoa wa Arusha, wakimsikiliza Mkurugenzi wa Taasis ya Mwalimu Nyerere (Hayupo pichani) alipofanya kikao na watumishi hao kuelezea maswala ya uongozi bora na dhana kamili ya ujamaa na kujitegemea.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.