• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

TUNAENDELEA KUENZI MAZURI YA SOKOINE-MAJALIWA

Posted on: April 12th, 2018

Waziri Mkuu wa Jamuhuri ya Muungano wa Tanzania Mheshimiwa Kassim Majaliwa Majaliwa, amesema serikali ya awamu ya tano inaendelea kuenzi   juhudi zilizofanywa na hayati  Edward Sokoine ya kupambana na uhujumu uchumi katika nchi.

Ameyasema hayo alipohudhuria ibada ya kumbukumbu ya kifo cha hayati Edward Moringe Sokoine nyumbani kwake wilayani Monduli.

Amesema hayati Edward Moringe Sokoine alikuwa  mkweli na mwadilifu katika utumishi wake na kwa jamii yake,hivyo sisi kama viongozi wa awamu hii ya tano hatuna budi kuendelea kuiga mfano wake.

“Jukumu letu nikuendelea kumuombea hayati Sokoine kwani matendo yake bado tunayaishi na yataendelea kutuongoza.

Serikali hii inaendelea kuthamini dira za viongozi waliotangulia kwa kuhakikisha mali za nchi zinawanufaisha watanzania wote.

Amesisitiza kuwa hayati Sokoine alijikita katika kuwajibika kwa watumishi wa umma na serikali ya awamu hii nayo imeweza kurudisha nidhamu na uwajibikaji kwa watumishi wa umma.

Pia hayati Edward Sokoine alianzisha falsafa ya ‘Kilimo ni uti wa Mgongo’ na sasa serikali inaendeleza falsafa hiyo kwa kujikita katika kilimo cha uzalishaji chenye tija.

Amesisitiza  kuwa hayati Sokoine  alikuwa msikivu kwa kusikiliza kero mbalimbali za watu na hakuwa na kinyongo wala tabia ya kujilimbikizia mali hivyo ni mfano wakuingwa na watanzania wote.

Askofu mstaafu wa jimbo kuu katoliki la Arusha mhashamu Josephati Luis Lweburu akiendesha ibada hiyo amesema hayati Edward Sokoine alikuwa mcha Mungu sana ndio kukamfanya awe mwaminifu na muwajibikaji katika utumishi wake.

Amesema alikuwa mtu wakubuni mbinu mbalimbali za kusaidia watu wake katika jamii yake na hii imesababisha kuendelea kukumbukwa na wengi kwa upendo wake huo.

Akitoa neno la shukrani Lembrisi Kivuyo kwa niaba ya familia ya hayati Edward Moringe Sokoine,amesema serikali imekuwa ikiwa karibu sana na familia hiyo tangu kuondokewa na mpendwa wao hivyo ameishukuru sana serikali kwa hilo.

Amesema familia yao itaendelea kuunga mkono serikali ya awamu ya tano kwa juhudi zake zinazofanya katika kuleta maendeleo kwa nchi.

Hayati Edward Moringe Sokoine alifarikia Aprili 12, 1984 akiwa kama waziri mkuu wa Tanzania wa tatu akimfuatia hayati Rashidi Mfaume Kawawa na kila mwaka familia yake hufanya ibada hiyo ya kumbukumbu.

Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.