Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe. Dkt. Doto, amewasili mkoani Arusha kwa ndege ya shirika la Ndege Tanzani na kupokelewa na Mkuu wa Mkoa wa Kilimanjaro Mhe. Nurdin Babu, Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda na Waziri wa Maliasili na Utalii Mhe. Angella Kairuki (Mb), kwenye kiwanja cha Ndege cha Kilimanjaro, leo Aprili 30, 2024.
Mhe. Biteko amefika mkoani Arusha tayari kwa Sikukuu ya Wafanyakaiz Mei Mosi, inayofanyika kitaifa mkoani Arusha tarehe 01, Mei, 2024
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.