Rais wa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania, Wallace Karia amefika kwenye ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha na kufanya mazungumzo mafupi na Mkuu wa Mkoa huo, Mhe. Paul Christiam Makonda mapema leo tarehe 3 Mei, 2024.
Ndugu Karia ameambatana na Mjumbe wa Bodi ya TFF Ndugu, Philemon Ntahilaja, kwa ziara ya kukagua viwanja vya mazoezi vitakavyotumika kwenye mashindano ya AFCON yanayotarajiwa kufanyika mwaka 2027 mkoani Arusha.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.