Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, amewasili mkoani Arusha kwa ndege ya shirika la Ndege Tanzani na kupokelewa na Mkuu wa mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda kwenye kiwanja cha Ndege Arusha, alasiri ya leo Aprili 30, 2024.
Waziri mkuu amefika mkoani Arusha tayari kwa Sikukuu ya Wafanyakazi Mei Mosi, inayofanyika kitaifa mkoani Arusha tarehe 01, Mei, 2024
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.