Waziri wa Afya Mhe.Jenista Mhagama (Mb) amefika kwenye Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha na kupokelewa na Katibu Tawala Msaidizi Utawala na Rasilimali David Lyamongi leo Agosti 21,2024
Mhe.Jenista yuko mkoani Arusha kwa ziara ya Kikazi, licha ya kusaini kitabu cha wageni amefanya mazungumzo mafupi na Katibu Tawala huyo pamoja na Watalamu wa Afya mkoa wa Arusha .
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.