Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongella amewataka wananchi wa Mkoa huo, kujitokeza kupima afya zao na atakae gundulika anamaambukizi ya UKIMWI atumie dawa wala asikate tamaa.
Ameyasema hayo alipokuwa akizungumza na wananchi wa Wilaya ya Longido katika maadhimisho ya siku ya UKIMWI Duniani, yaliyofanyika Kimkoa wilayani humo.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.