• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

USALAMA NA AFYA MAHALI PA KAZI DUNIANI UENDANE NA MABADILIKO YA TABIA NCHI...

Posted on: April 29th, 2024

Na Elinipa Lupembe

Imeelewza kuwa, Afya na Usalama Mahali pa kazi, uendane na mabadiliko ya tabia Nchi, ikiwani kauli mbiu ya Maadhimisho ya Siku ya Usalama na Afya Mahali pa kazi mwaka 2024, maadhimisho yaliyofanyika mkoani Arusha, kwenye kiwanja cha General Tyre, eneo la Njiro, Jijini Arusha Aprili, 28, 2024.

Hayo yamebainishwa na Mkurugenzi Mtendaji wa Wakala wa Usalama na Afya mahala pa kazi (Occupational Safety and Healthy Authority - OSHA), wakati wa kilele cha Maadhimisho ya Kimataifa ya usalama na afya mahala pa kazi, na kusela kuwa Tanzania inapoadhimisha siku hiyo ni muhimu kuzingatia mabadiliko ya tabia Nchi.

Amesema kuwa, Tanzania inaungana na Dunia nzima na katika kuathimisha siku ya Usalama na Afya Mahala pa kazi, na kusisitiza kuwa,  maadhimisho hayo  yanaweze kuwa endelevu, kupimika na kutekelezeka yanaenda na kauli mbiu, na kauli mbili ambayo ilitolewa na shirika la kazi Duniani inasema 'athari za mabadiliko ya tabianchi katika usalama na afya.

"Lakini hiyo ni kauli mbiu ya Dunia, na sisi tukaangalia changamoto yetu ni nini linapokuja kuhusu athari za mazingira, kwa hiyo tukasema kama nchi tuje na kauli mbiu yetu ambayo inasema 'athari za mabadiliko ya tabia Nchi katika usalama na afya kazini, sajili eneo lako la kazi katika harakati za kupunguza athari hizo". Amesema Khadija

Wafanyakazi ni nyenzo muhimu sana katika kuleta maendeleo ya Taifa, maendeleo yanayotegemea mazingira ya kazi ambayo ni salama, ambayo shughuli zake za kiuchumi zinatathminiwa, uwezo wake katika  kuwalinda wafanyakazi .

Ameongeza kuwa,  siku ya leo ina lengo la kukumbushana, kuelimishana, kuhamasishana kuhusu uwepo wa mazingira salama katika maeneo ya kazi ili kulinda nguvu kazi ya Taifa, lakini pia kulinda uwekezaji ambao upo na hatimaye kukuza pato la Taifa na kupata maendeleo tuliyotarajia.

Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.