• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

UTEUZI WA KAIMU MKURUGENZI WA JIJI LA ARUSHA

Posted on: May 26th, 2022

Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Dkt. Athumani Kihamia amemteuwa Katibu Tawala msaidizi Uchumi na Uzalishaji Mali bwana Hargeney  Reginald Chitukuro kuwa Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Arusha kwa muda hadi apo Serikali itakapotoa utaratibu mwingine.

Katika kikao maalumu cha kumtambulisha Kaimu Mkurugenzi huyo Dkt.Kihamia amewataka wakuu wa idara Jiji la Arusha kushirikiana nae katika kutekeleza majukumu yake.

Pia,amewataka watumishi wa Jiji la Arusha kufanya kazi kwa ushirikiano na wasikubali kupelekeshwa katika kutekeleza majukumu yao.

Dkt.Kihamia amesisitiza makabidhiano ya ofisi ya Mkurugenzi yafanyike mapema iwezekanavyo ili majukumu mengine yaendelee katika ofisi hiyo.

Ofisi ya Rais TAMISEMI ilikasimisha madarasa hayo kwa Katibu Tawala Mkoa ya kumteuwa atakae Kaimu nafasi hiyo kwa muda.

Nae, Kaimu Mkurugenzi wa Jiji hilo Bwana Hargeney Chitukuro amesisitiza kuwa na ushirikiano kutoka ngazi za Mkoa, Wilaya na Halmashauri.

Amesema, jukumu la kutekeleza majukumu yaliyopo nikufuata sheria na taratibu zilizopo ili kukuza ufanisi zaidi.

Mastahiki Meya wa Jiji la Arusha Mhe. Maximilian Iranghe amemuaidi Kaimu Mkurugenzi huyo ushirikiano katika kutekeleza majukumu yake na kuleta maendeleo katika Jiji hilo.

Hatua ya kumteuwa Kaimu Mkurugenzi wa Jiji la Arusha imefikiwa baada ya aliyekuwa Mkurugenzi wa Jiji hilo Dkt. John Pima kusimamishwa kazi na Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa kwa tuhuma za ubadhilifu na amatumizi mabaya ya fedha za Serikali.

Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.