Mganga Mkuu wa Mkoa Dr. Vivia Wonanji akizindua kampeni ya upimaji wa magonjwa sugu yasiyoambukizwa kwa watumishi wa umma.
Uzinduzi wa kampeni ya upimaji wa magonjwa sugu yasiyo ambukizwa.
Kampeni hii ilizundulizwa Julai 21, 2018 katika viwanja wa Azimio la Arusha na itaendelea kwa wananchi wote Julai 26,2018 katika viwanja vya Gymkhana.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.