• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

UZINDUZI WA WIKI YA KUZUIA NA KIDHIBITI MAGONJWA YASIYOAMBUKIZA

Posted on: November 6th, 2021

"Takwimu za mwaka 2016 zinaonesha magonjwa yasiyoambukiza yanachangia vifo vya watu zaidi ya Milioni 41 sawa na 71% ya vifo vyote, nchini".

Kauli hiyo imesemwa na Naibu Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mhe. Pauline Gekul alipokuwa akifungua maadhimisho ya wiki ya kuzuia na kudhibiti magonjwa yasiyoambukiza kitaifa yanayofanyika Mkoani Arusha.

Amesema magonjwa haya yanaanza katika umri mdogo sana na hivyo kudhorotesha nguvu kazi  katika Jamii.

Hivyo ameitaka Jamii yote kuzingatia ufanyaji wa mazoezi ya mwili kila mara ili kuweka mazingira rafiki ya afya zetu ikiwemo kuzuia magonjwa kama ya Kisukari, shinikizo la juu la Damu, msongo wa mawazo, pumu, sikoseli, kinywa, Koo na mengine mengi.

Mhe.Gekul  amesema Serikali imetenga siku ya Jumamosi ya wiki ya pili ya kila mwezi iwe siku maalamu yakufanya mazoezi ya mwili,hivyo amesisitiza watu wote hasa wenye majukumu ya kukaa chini muda mrefu kufanya mazoezi mara kwa mara hasa watumishi wa Serikali, sekta binafsi na wanafunzi ili kujikinga na magonjwa hayo.

Mkurugenzi wa idara tiba kutoka Wizara ya Afya, maendeleo ya Jamii, Jinsia, Wazee na Watoto Dkt. Vivian Wonanji amesema Wizara hiyo imeandaa muongozo unaonesha namna yakulinda afya za watu katika makundi mbalimbali.

Amesema lengo la muongozo huo nikuwahamasisha watu katika sekta mbalimbali kuacha tabia bwete( kutofanya mazoezi) na muongozo huo umelenga kuanzia umri wa miaka 5 hadi 64.

Nae, Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe.John Mongella amesema wiki hii ya maadhimisho itafana sana kwani Mkoa wa Arusha umepewa jukumu la heshima.

Maadhimisho hayo yamefinguliwa rasmi Novemba 6 na yanatarajiwa kufungwa Novemba 13 na Mhe. Dorothy Gwajima na Novemba 10 utafanyika uzinduzi wa maonesho mbalimbali na Novemba 11 na 12 kutakuwa na Kongamano la Kisayansi.



Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.