Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Richard Kwitega (katikati) akiwa na kaimu msajili wa Bodi ya Maziwa Dkt.Sophia Mlote wakikata utepe kama ishara ya uzinduzi wa wiki ya uhamasishaji na unywaji wa Maziwa Kitaifa Mkoani arusha.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Richard Kwitega akihutubia wasindikaji,wafungaji na wananchi (hawapo pichani) katika uzinduzi wa wiki ya uhamasishaji na unywaji wa Maziwa Kitaifa katika uwanja wa Shekh Amri Abeid,Arusha.
Kaimu Msajili wa Bodi ya Maziwa Dkt.Sophia Mlote akitoa hotuba kwa mgeni rasmi (hayupo pichani) katika uzinduzi wa wiki ya Maziwa Mkoani Arusha.
Katibu Tawala wa Mkoa wa Arusha Richard Kwitega akisalimiana na Kaimu Msajili wa Bodi ya Maziwa Dkt.Sophia Mlote katika kiwanja cha Shekh Amri Abeid, Arusha.
Matukio mbalimbali katika uzinduzi wa wiki ya Maziwa Kitaifa Mkoani Arusha.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.