• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

VIONGOZI WA CLUB ZA WATOTO WAPATIWA MAFUNZO

Posted on: June 13th, 2023

WANAFUNZI VIONGOZI WA KLABU ZA WATOTO MKOA WA ARUSHA WATEMBELEA BUNGE KUJIFUNZA.


Viongozi wa klabu na mabaraza ya watoto kutoka Halmashauri tatu za Mkoa wa Arusha,  Meru, Karatu na Jiji wakiambatana  na  viongozi toka Ofisi   ya  Rais TAMISEMI, Wataalamu  wa  Mkoa wa Arusha  na Halmashauri  pamoja na Viongozi na watumishi toka Shirika la  SOS CHILDREN'S  VILLAGE wamepata fursa ya kufuatilia shughuli  za  Bunge la Jamhuri  ya  Muungano  wa Tanzania leo tarehe 13/06/2023 ikiwa ni sehemu ya ziara ya mafunzo ya siku tano jijini Dodoma.


Viongozi hao wa klabu za Watoto wameshuhudia namna muhimili wa Bunge unavyoendesha shughuli zake ambapo pia watapata fursa ya  kutembelea chuo  cha Dodoma, Mji wa  serikali mtumba na kushiriki maadhimisho ya siku ya Mtoto wa Afrika ambayo inahitimishwa Kitaifa Mkoani Dodoma  tarehe 16/06/2023.  


Hilda Mgomapayo  kutoka Ofisi ya Rais  TAMISEMI, ambaye ni mratibu wa dawati la ulinzi, usalama na maendeleo ya mtoto amesema Serikali  kupitia Ofisi ya Rais TAMISEMI  inasimamia  na kuratibu uundwaji wa Klabu hizi ikiwa ni utekelezaji wa  sera ya Mtoto,Sheria  za Nchi na Mikataba ya Kikanda na Kimataifa.


Ikumbukwe  shirika la SOS CHILDREN'S VILLAGE Kwa kushirikiana na Serikali kupitia Mkoa wa Arusha na Halmashauri waliwezesha kuundwa Kwa klabu za watoto mashuleni ambazo zimekuwa msaada na jukwaa muhimu la kuwasilikiliza watoto lakini pia kupokea changamoto zao na kuzifanyia kazi.


Awali akizungumzia umuhimu wa ziara hiyo , Afisa ustawi wa jamii Mkoa wa Arusha ndugu Denis Mgiye amesema Watoto  watapata uzoefu na kuongezewa ujasiri wa namna ya kuendesha vikao vyao na kuibua masuala mbali mbali yanayohusu ulinzi na usalama wa Mtoto.


Naye, Afisa Maendeleo ya jamii anayeratibu na kusimamia uundwaji na uendeshaji wa klabu za watoto Mkoa wa Arusha

Bi.Erena Materu amehimiza uundaji  wa klabu hizo katika shule zote na ngazi ya jamii  kunawasaidia watoto kujisemea na kuomba ushirikiano zaidi,kupewe umuhimu  kutoka Idara za kisekta na wadau mbali mbali.

Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.