• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

WADAU WA MAENDELEO WATAKIWA KUWEKA WAZI GHARAMA ZA FEDHA ZA SHUGHULI ZA MAENDELEO WANAZOZIFANYA.

Posted on: August 9th, 2024

Na Elinipa Lupembe 


Wadau wa Maendeleo Mkoa wa Arusha, wamesisitizwa kuweka wazi taarifa za fedha zinazotumika katika kutekeleza shughuli za maendeleo ikiwemo utekelezaji wa miradi ya maendeleo katika maeneo yote ya mkoa wa Arusha.


Rai hiyo imetolewa na Katibu Tawala Mkoa wa Arusha na Mwenyekiti wa Kikao, Missaile Albano Musa, wakati wa kikao cha Kamati ya Lishe Mkoa cha mwezi Januari -Juni, 2024, kilichofanyika kwenye Ofisi ya Katibu Tawala huyo, Agosti 09, 2024.


Missaile amewakumbusha wadau wa maendeleo na Mashirika yasiyo ya kiserikali kufanya shughuli zao, kwa kuzingatia kanuni, sheria na taratibu za Serikali,  ikiwemo uwazi wa matumizi ya fedha zinazotumika kutekeleza shughuli za kijamii na miradi ya maendeleo.


"Kila ASAS inawajibika kuweka wazi miradi inayotekelezwa na gharama zake kwenye eneo husika, kuwasilisha taarifa za utekelezaji kwa mamlaka za Serikali za Mitaa, hali ambayo licha ya kuongeza uwazi, uwajibikaji na ufanisi wenye tija kwa jamii, zaidi inaiwezesha Serikali kutambua kazi na huduma zinazotolewa kwa wananchi kupitia mashirika hayo yasiyo ya kiserikali". Amesema Missaile


Aidha, amebainisha kuwa, Serikali inatambua na kuthamini kazi kubwa inayofanywa na Mashirika yasiyo ya kiserikali nchini, wadau ambao wanaisaidia Serikali, kufika malengo yake ya kuhudumia jamii kisekta  pamoja na kusukuma gurudumu la maendeleo la Taifa la Tanzania.


"Tunatambua na kuthamini kazi kubwa inayofanywa na mashirika ya kiraia, kazi ambayo inatoa mchango mkubwa kwa jamii kwa niaba ya Serikali, mchango ambao wakati mwingine Serikali peke yake isingeweza, hivyo Asas zote za kiraia ziendelee kutekeleza majukumu yake kwa kuzingatia taratibu na mpango mkakati wa Serikali" Amesema


Kikao hicho cha lishe kinajumuisha wajumbe wa idara mtambuka za Lishe, ikiwemo Elimu,Afya, mipango pamoja na wadau wa lishe kutoka mashirika yasiyo ya kiserikali mkoa wa Arusha.


Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.