• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

Wajasiliamali Kupatiwa Elimu ya Kuongeza Thamani Madini

Posted on: March 23rd, 2018

Kituo cha kuongeza thamani ya madini (Tanzania Geological Centre),kimejipanga kutoa mafunza kwa wingi kwa wajasiliamali  ya namna yakuongeza thamani ya madini ya Vito.

Akitoa pongezi kwa kituo hicho Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mrisho Gambo amesema niwakati sasa kwa watanzania kujivunia na kunufaika na madini yao.

Amesema kituo hicho kimefanya vizuri sana kuanzisha mafuzo hayo kwa wajasiliamali ili kuwaongezea ujuzi wa utambuzi  wa madini ya vito na hii itasaidia kupunguza udanganyifu unaofanywa na baadhi ya watu.

“Mafunzo haya mnayotoa yatasaidia kupunguza udanganyifu unaofanywa na baadhi ya wafanyabiashara wa  madini kwa kutengeneza madini feki nakuwauzia wateja wao.”alisema

Amemshauri mratibu wa kituo cha kuongeza thamani kuanza kufikiria namna ya kuwa na chapa za Tanzania katika madini ili kujitangaza zaidi ndani na nje ya nchi kuliko kutokuwa nayo hii inapelekea nchi nyingine kupata jina katika soko kwa kutumia madini yetu.

Aidha,amesema ameshafanya mawasiliano na balozi wa India kuwaomba kuwafadhiri baadhi ya wataalamu kwenda India kupata mafunzo zaidi ya namna yakutambua na kuyaongezea thamani madini na balozi amesharidhia.

Gambo ameshauri pia wadau wa madini nao wangeshirikishwa juu yakudhamini baadhi ya wajasiliamali kupata elimu hiyo na hiyo itasaidia kuongeza idadi ya wajasiliamali watakaopa elimu hiyo.

Pia,Mratibu wa kituo hicho bwana Erick Mpesa amesema,kituo hicho kilianzishwa 2014 na mpaka sasa tayari wanafunzi 300 wameshahitimu mafunzo hayo.

Amesema bado wanaendelea na juhudi za kuandaa makumbusho itakayotumika kutunza madini yote yanayopatikana hapa nchini,hii itasaidia hata kama madini yetu yataisha lakini kumbukumbu inatakiwa kuwepo kwa vizazi vijavyo.

Mkuu wa mkoa yupo katika ziara ya kutembelea viwanda vya Arusha kwa siku 3 na lengo ni kusikiliza changamoto zinazowakabiri wawekezaji kwa kuwa sera ya serikali ya awamu ya tano nikuhakikisha nchi inaingia katika hatua ya viwanda.

Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.