Wajasiliamali wametakiwa kuhakikisha wanarudisha mikopo wanayokopeshwa kutoka kwa Taasis za Mikopo ili kutoa nafasi kwa wengine kupewa mikopo hiyo na kuwasaidia wajasiliamali kukuza mitaji yao.
Maelekezo hayo yametolewa na Naibu Waziri Ofisi ya Waziri Mkuu, Sera, Bunge, Vijana na wenyeulemavu Mhe.Patrobas Katambi alipokuwa akifunga maonesho ya 4 ya programu za uwezeshaji wananchi kiuchumi,yaliyofanyika katika viwanja vya Shekh Amri Abeid,Jijini Arusha.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.