Wajumbe wa Mabaraza ya Ardhi wailaya za Arumeru, Karatu na Longido wamekula kiapo tayari kwa kuzitumikia nafasi hizo mara baada ya kuteuliwa na Waziri mwenye dhamana ya ArdhiMabaraza ya Ardhi wilaya yanaundwa kwa Sheria ya Utatuzi wa Migogoro ya Ardhi sura ya 216 yakiwa na jukumu la kusikiliza kesi za ardhi katika maeneo yao na kufanya maamuzi.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.