• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

WAKAZI WA ARUSHA WAPOKEA UWANJA KWA SHANGWE.

Posted on: April 6th, 2024


Na Elinipa Lupembe 


Wananchi wa Mkoa wa Arusha, wamefurahishwa na kuipongeza Serikali ya awamu wa sita kwa kuchagua mkoa huo, kutekelezwa mradi mkubwa wa ujenzi wa uwanja wa mpira wa miguu, mradi ambao wanaamini ni fursa kubwa ya kijamii na kiuchumi.


Akitoa salamu za mkoa wa Arusha, kwenye hafla ya Kumkabidhi Mkandarasi eneo la Ujenzi wa uwanja huo wa mpira wa miguu, iliyofanyika kata ya Olmoti, kwa niaba ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, Mkuu wa wilaya ya Arusha, Mhe. Felician Mtahengerwa ameishukuru Serikali ya awamu ya sita, chini ya Mhe. Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan, kwa kuichagua Arusha kutekeleza mradi huo mkubwa wa ujenzi wa wawanja wa mpira wa miguu.


"Kwa niaba ya wanaarusha tunaishukuru Serikali chini ya uongozi wa Jemaadari Rais wtu  Dkt.Samia Suluhu Hassan kwa  kuichagua Arusha, kujengwa uwanja wa mashindano ya Kimataifa, tunautazamia mradi huu kwa jicho la kipekee licha ya mashindano yaliyoandaliwa kufanyika hapa, tunaiona fursa ya utalii wa michezo Arusha,  itakayoendelea kuchochea utalii wa asili uliopo ambao utaendelea kukuza pato la mtu mmoja mmoja, jamii, mkoa na pato la Taifa kwa ujumla.


Aidha ameahidi kutoa ushirikiano wa hatua kwa hatua katika utekelezaji wa mradi huo ikwemo kusimamia upatikanaji wa vibali ili kuhakikisha mradi utakamilika kwa wakati na kufikia malengo ya Serikali na kuahidi kuwa bega kwa bega na Mkandarasi anayetekeleza mradi huo.


Awali, Waziri wa Utamaduni, Sanaa na Michezo Mh. Dkt. Damas Damian Ndumbaro amekabidhi kandarasi kwa Mkandarasi wa kampuni ya CRCEG ya nchini China, mradi unaotarajiwa kukamilia mwaka 2026 ukigharimu shilingi Bilioni 286.


#arushafursalukuki 




                        
                       
                        </div>
                        <!-- /.right-sidebar-content -->
                        <!--/END RIGHT SIDEBAR CONTENTE SECTION-->
                    </div>



<div class=

Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.