HALMASHAURI YA NGORONGORO
Baadhi Wananchi wa Kitongoji cha Mugholo Kata ya Kirangi, halmashauri ya Ngorongoro, wakiendeleaa kuhakiki majina yao kwenye orodha ya Wapiga Kura.
Wananchi wakikagua majina yao kwenye Orodha ya wapiga kura katika kitongoji cha Losooito kijiji cha Losooito Wilaya ya Ngorongoro
"Serikali za Mitaa, Sauti ya Wananchi, Jitokeze kushiriki Uchaguzi"
#uchaguziwaserikalizamitaa2024
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.