Wananchi wa Mkoa wa Arusha, wajitokeza kwenye vituo vya vituo vya Kata ya Usa River, Halmashauri ya Meru, Jimbo la Arumeru Mashariki, kwa ajili ya kujiandikisha na kuboresha taarifa zao kwenye Daftari la kudumu la wapiga Kura, kuelekea uchaguzi Mkuu, unaotarajia kufanyika 2025
Zoezi la Uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura, linafanyika kwenye mikao ya Arusha, Kilimanjaro na Dodoma kwenye Halmashauri za Wilaya ya Kondoa, Chemba na Mji wa Kondoa kuanzia leo tarehe 11 hadi 17 Desemba, 2024.
Vituo vya kujiandikisha vinafunguliwa kuanzia saa 2:00 asubuhi na kufungwa saa 12:00 jioni kwa siku hizo saba (7).
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.