• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

WATAHINIWA 39,075 KUFANYA MTIHANI WA KIDATO CHA PILI MKOA WA ARUSHA 2024..

Posted on: October 28th, 2024

Na Elinipa Lupembe.

Jumla ya watahiniwa 39,075 mkoa wa Arusha wanatarajika kufanya mtihani wa kidato cha pili mwaka 2024, unaotarajia kuanza nchini leo tarehe 28 Oktoba, 2024, kwa mujibu wa ratiba iliyotolewa na Baraza la Mitihani la Taifa (NECTA).

Akizungumza na mwandishi wetu, Afisa Elimu Mkoa wa Arusha Mwl. Sara Mlaki amesema kuwa, idadi hiyo ya watahiniwa inajumuisha watahiniwa wa shule (school candidates) na watahiniwa wakujitegemea (private candidates) ambapo  watahiniwa 38,594 ni wa shule na watahiniwa 481 ni wakujitengemea.

Amefafanua kuwa, katika idadi ya watahiniwa wa shule 38,594  wavulana ni 18,066 na wasichana 20,528 watakaofanya mitihani, kwenye shule 275 za Serikali na binafsi zikiwa na jumla ya mikondo 1,046.

Aidha, kwa watahiniwa binafsi 481, wavulana ni 199 na wasichana 282, watafanya mitihani yao kwenye vituo 48 vikiwa na mikondo 28.

Hata hivyo, Afisa Elimu huyo, amethibitisha kukamilika kwa maandalizi yote muhimu,  ikiwemo semina elekezi kwa wasimamizi wa mitihani hiyo zimefanyika sambamba na usalama wa miundombinu kwa kuzingatia taratibu zote za Mitihani ya Taifa.

Awali, Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, inawatakia kila la kheri watahiniwa wote katika mitihani hiyo muhimu ya upimaji kwa wanafunzi wa kidato cha pili mwaka 2024.

KILA LA KHERI KIDATO CHA PILI 2024; MWENYENZI MUNGU AWASIMAMIE✍

@ortamisemi @necta_tanzania @wizara_elimutanzania @taasisiyaelimu @maelezonews @merudistrictcouncil2 @ngorongoro_dc @longido_district_council @arusha_district_council @halmashauri_ya_karatu

Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.