WATANO KUTOKA ARUSHA SAFARINI KUELEKEA MOROCCO KUIWAKILISHA NCHI MASHINDANO YA PIKIPIKI AFRIKA.
Wakimbiza pikipiki kutoka Mkoani Arusha wanaoiwakilisha Tanzania kwenye michuano ya Afrika ya FIM Africa Motocross of African Nationa 2024 wakiondoka kuelekea Marrakech Nchini Morocco kushiriki michuano hiyo inayofanyika Oktoba 25-27, 2024.
Wachezaji hao Kelvin Akyoo, Simon Mangombo na Colins Simonson walioambatana na Mwanahabari Doto Kadoshi na Kiongozi wao, walikuwa washindi kwenye michuano ya Samia Motocross Championship iliyobuniwa na kuratibiwa na Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Paul Christian Makonda.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.