Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Dkt. Athumani Kihamia amefanya kikao kazi na watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa na kuwataka wakafanye kazi kwa ushirikiano, bidii na weredi ili kuleta tija katika Mkoa.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.