Wajumbe wa Kamati ya Siasa Mkoa wa Arusha, wamewapongeza watumishi wa halmashauri ya Meru kwa kaz nzuri wznayoifanya ya kutekeleza shughuli za amendeeo ikiwemo miradi ya maendeleo, ikiwa ni utekelzaji wa Ilani ya Chama cha Mapinduzi ya mwaka 2020 - 2025.
Wzjumbe hao wzmetoa pongezi hizo, wakati wa kikao kifupi cha kufahamiana, kilichofanyika kwenye ukumbi wa mikutano halmasahuri ya Meru, muda mfupi mara baada ya wajumbe wa Kzmati hiyo ya siasa kuwaili wilayani Arumeru, tayari kwa ziara ya siku mbili ya kukagua miradi ya maendeleo na utekelezaji wa Ilani ya CCM.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.