• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

WATUMISHI RS ARUSHA WAPATIWA MAFUNZO YA MFUMO WA PEPMIS

Posted on: November 30th, 2023

Na Elinipa Lupembe


Watumishi Ofisi ya Mkuu wa Mkoa wa Arusha, wameanza kupatiwa Mafunzo ya Mfumo wa Upimaji Utendaji kazi kwa watumishi wa Umma (PEPMIS), yanayofanyika kwenye ukumbi wa mikutano, Ofisi ya Mkuu wa mkoa wa Arusha, na kutolewa chini ya Ofisi ya Rais, Utumishi wa Umma na Rasilimali Watu kwa kuhirikiana na  Ofisi ya Katibu Tawala mkoa.


Akifungua mafunzo hayo, Katibu Tawala Msaidizi Utumishi na Rasilimali watu, Davia Lyamongi, kwa niaba ya Katibu Tawala mkoa wa Arusha, amewataka watumishi hao, kufanya bidii kipindi cha mafunzo ili kupata ujuzi na maarifa ya namna ya kutumia Mfumo huo wa PEPMIS.


Amesema kuwa mfumo huo, utawezesha upimaji wa kazi alizopangiwa mtumishi kwa siku, kulingana na majukumu aliyopangiwa na muda wa kufikia malengo pamoja na tathmini na upimaji.


"Kila mtumishi anapaswa kuuelewa vizuri mfumo huu, kwa kuwa unamgusa moja kwa moja utendaji wake wa kazi, kwa kuzingatia malengo binafsi na kufikia malengo ya jumla ya Mwajiri ambaye ni Serikali, niwasisitize nafasi hii ni muhimu kwa kila mtumishi, kuhakikisha unauelewa vizuri mfumo huu mpya wa PEPMIS" Amesema Lyamonge


Naye Msimamizi Mkuu wa mafunzo kutoka Ofisi ya  Rais Utumishi na Utawala Bora, Anna Kiwelu, amesema, mafunzo hayo ni muhimu kwa watumishi, yenye lengo la kumuwezesha mtumishi wa Umma, kujifanyia upimaji wa kazi anazozitekeleza kila siku kupitia mfumo wa PEPIMS.


Amebainisha kuwa, lengo la mafunzo hayo, ni kuwajengea uwezo watumishi na kuwa na uelewa wa pamoja wa namna ya kutumia mfumo wa PEPIMS, ambao ni mfumo mpya uliotolewa na serikali kwa ajili ya kupima utendaji kazi kwa watumishi wote wa Umma.


Mafunzo hayo ya siki mbili, yamejumuisha watumishi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha, Ofisi za Wakuu wa Wilaya pamoja na Ofidi za Maafisa Tarafa.




Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.