Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais – TAMISEMI na Mbunge wa Jimbo la Rufiji Mhe. Mohamed Mchengerwa amejiandikisha leo kwenye orodha ya Mpiga kura kwenye kitongoji chake cha Michikichini Kijiji cha Umwe Kasikazini Wialayani Rufiji, tayari kwa kushirki Uchaguzi wa Serikali za mitaa kwa kumchagua Mwenyekiti wake wa Kijiji.
Aidha Mhe. Mchengerwa @mohamed_mchengerwa amesisitiza kuwa leo ni siku ya mwisho wa zoezi la kujiandiksiha na hakuna muda uliongezwa kwa ajili ya wananchi kujiandikisha
@ortamisemi
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.