Waziri Mkuu Jamhuri ya Muungano Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa anatarajiwa kuwa mgeni rasmi na kufungua Kongamano la tatu la Chama cha Madereva wa Serikali Tanzania (CMST) mwaka 2024, kesho tarehe 20 Agosti, 2024.
Kongamano hilo, linafanyika Mkoani Arusha, kwenye Kituo cha Mikutano ya Kimataifa Arusha (AICC), Ukumbi wa Simba limeanza rasmi leo Agosti 19 mapaka Agsti 23, 2024 likitarajiwa kuwa na madereva wote wa Serikali Tanzania nzima.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.