• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

WAZIRI MKUU MHE. KASSIM MAJALIWA KUFUNGUA MKUTANO WA 14 WA TOA MWAKA 2024

Posted on: June 10th, 2024


Elinipa Lupembe, Arusha 

Waziri Mkuu wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe. Kassim Majaliwa Majaliwa, anatarajiwa kufungua Mkutano Mkuu wa 14  wa Taasisi ya Maboresho ya Serikali za Mitaaa Tanzania (TOA), unaotarajia kufanyika mkoani Arusha kuanzia tarehe 12 - 14 Juni, 2024.

Taarifa hiyo imetolewa na Mwenyekiti wa TOA Taifa na Katibu Tawala Mkoa wa Katavi, Albert Msovella, wakati akizungumza na waandishi wa habari jijini Arusha leo Juni 10, 2024 na kuweka wazi kuwa, Mkutano huo utafanyika kwenye Kituo cha Kimataifa cha Mikutano Arusha (AICC), ukibeba dhima ya uboreshaji na utendaji kazi wa Mamlaka  za Serikali za Mitaa.


Amesema kuwa, mkutano huo utahusisha Makatibu Tawala wa mikoa yote 26, Wakurugenzi watendaji wa majiji, miji na halmashauri zote  184, huku wakiwalikwa na Maofisa Utumishi wa Sekritarieti za mikoa na halmashauri zote nchini pamoja na wakurugenzi wa Manispaa zote na wasimamizi wa Mamlaka za Serikali za Mitaa kwa upande wa Zanzibar, lengo likiwa ni kuwa na uelewa wa pamoja na kubadilishana uzoefu katika utoaji huduma kwa wananchi kupitia Maamlaka hizo.


"Mkutano huu una lengo la maboresho  ya Serikali za mitaa katika masuala ya ugatuaji wa madaraka kwenda kwa wananchi, ukiwemo ukusanyaji wa mapato na utoaji wa huduma za kijamii ikiwemo maji, kilimo, afya, miundombinu, usimamizi wa rasilimali watu,  fedha na utawala bora". Amesema Msovela


Aidha, Msovella amebainisha kuwa, umoja huo ulianza mwaka 2002  kwa kushirikiana na Serikali  ya Japani, kupitia Shirika la Maendeleo la kimataifa la Japani (JICA) ambapo watumishi zaidi ya 6,000 wamenufaika kwa kupata mafunzo kupitia TOA.


Awali Mkutano huo, wenye kauli mbiu ya Boresha Msingi  wa Utoaji Huduma za Serikali za Mitaa, utabeba mada mbalimbali zinazotarajiwa kuwasilishwa na Maofisa wabobezi wastaafu na waliopo Serikalini.


Ofisi ya Rais - Tamisemi Ikulu Mawasiliano Samia Suluhu Kwanza Ofisi ya Waziri Mkuu Ofisi ya Makamu wa Rais

May be an image of 13 people, newsroom, dais and text

May be an image of 10 people, newsroom, dais and text

May be an image of 11 people, dais and text

Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA AFUNGUA MKUTANO WA 33 WA WAKUU WA MAJESHI YA ULINZI (SADC).

    May 30, 2025
  • SAMIA MOTOCROSS CHAMPIONSHIP KUREJEA MSIMU WA PILI JULAI 12, 2025

    May 27, 2025
  • MKOA WA ARUSHA KUWA MWENYEJI WA MKUTANO MKUBWA WA WAKUU WA MAJESHI WA SADC

    May 25, 2025
  • UJENZI WA UWANJA WA AFCON ARUSHA SIO MICHEZO TU, NI FURSA YA KIUCHUMI

    May 24, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.