Waziri wa Afya Mhe. Ummy Mwalimu (MB) amefika ofisi ya mkuu wa mkoa wa Arusha, na kupokelewa na Mkuu wa mkoa huo, Mhe. John V.K Mongella, leo tarehe 30 Desemba, 2023.
Mhe. Ummy licha ya kusaini kitabu cha wageni, amefanya mazungumza mafupi na Mhe. Mongella.
Akiwa mkoani Arusha, Mhe. Ummy amefanya zaiara ya siku moja ya kutembelea hospitali ya Rufaa ya Mount Meru, pamoja na kuzindua Maabara ya Pathologia ya kupima magonjwa Sakatani.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.