• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

WILAYA YA NGORONGORO YAPONGEZWA KWA UKUSANYAJI WA MAPATO NA KUPATA HATI SAFI.

Posted on: June 11th, 2025

Katibu Tawala Mkoa wa Arusha, Missaile Albano Musa ameipongeza halmashauri ya Wilaya ya Ngorongoro kwa kuhahakikisha wanakusanya vema mapato ikiwemo matumizi sahihi ya bakaa katika miradi mbalimbali ya maendeleo na kusisitiza mikopo ya asilimia kumi ya fedha hizo zitengwe ili kuwezesha wanawake, vijana na makundi maalum kupata mikopo



Musa ametoa pongezi hizo wakati wa kikao maalum cha Baraza la Madiwani wilaya ya  Ngorongoro cha kujadili hoja za Mdhibiti na Mkaguzi wa Hesabu za Serikali (CAG) kwa mwaka wa fedha 2024/2025 ambapo halmashauri hiyo imepata hati safi.



 "Kusanyeni fedha na miradi ya maendeleo itekelezeke, nawapongeza kwa kupata hati safi na kuendelea kupunguza hoja mpaka kufikia hoja tisa ( zikiwemo zile za kisera) lakini ni lazima kuzitafutia majibu ili zifutwe." Amesema Katibu Tawala huyo.



Naye Mkurugenzi wa halmashauri ya Ngorongoro, Murtalla Mbilu amesema kuwa siri ya mafanikio hayo ni usimamizi mzuri na kutekeleza maelekezo na maagizo ya uongozi wa Mkoa pamoja Mkaguzi na Mdhibiti wa hesabu za Serikali pamoja na kuzuia ubadhirifu, ufisadi na uzembe kwa watumishi na kuongeza ushirikiano.



Amesema halmashauri hiyo imekusanya zaidi ya shilingi bilioni 3 ambayo ni zaidi ya asilimia 100 katika sekta mbalimbali kwaajili ya kutekeleza miradi mbalimbali ya maendeleo kwa mwaka huu wa fedha



Aidha, Mkaguzi  Mkuu wa Nje Mkoa Mkoa wa Arusha, Valence  Rutakyamirwa licha ya kuipongeza halmashauri hiyo kwa kuweka uwiano mzuri na majibu ya hoja kwa ufanisi ikiwemo kupata hati safi ya ukaguzi,  ameitaka halmashauri hiyo kuhakikisha madeni ya  wakandarasi waliotoa huduma ya vyakula shuleni na wazabuni yanalipwa kwa wakati.

May be an image of 1 person

May be an image of 2 people and dais

May be an image of 6 people, people studying, dais and text

May be an image of 9 people, people studying and text

May be an image of 1 person, dais and text

Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO MTIHANI WA UTAMIRIFU (MOCK) 2025 DARASA LA SABA (VII)- MKOA WA ARUSHA June 07, 2025
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • KARIBU ARUSHA Mhe. KENAN LABAN KIHONGOSI MKUU WA MKOA WA ARUSHA

    June 26, 2025
  • KARIBU ARUSHA Mhe. KENAN LABAN KIHONGOSI MKUU WA MKOA WA ARUSHA

    June 26, 2025
  • SIKU YA KWANZA; WAKAZI WA ARUSHA WAJITOKEZA KWENYE KAMBI YA MADAKTARI BINGWA NA MABINGWA WABOBEZI

    June 23, 2025
  • RC MAKONDA ASHIRIKI MARATHON YA KKKT 2025

    June 21, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.