Waziri wa Ulinzi wa nchi za falme za Kiarabu, Luteni Jenerali Mohammad Abdulrahim Al Ali, amewasili Mkoani Arusha kupitia Uwanja wa ndege wa Kilimanjaro na kupokelewa na mwenyeji wake Mkuu wa Mkoa wa Arusha Mhe. Iddi Hassan Kimanta.
Amefika kwa ajili ya ziara binafsi Mkoani Arusha.
Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.