• Complaint |
    • Contact Us |
    • FAQ |
    • Staff Mail |
Arusha Regional

The United Republic of Tanzania President Office Regional Administration and Local Government Arusha Regional

  • Home
  • About Us
    • History
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa mikoa waliopita-Arusha
    • Dira na dhima
    • The basics
    • Strategies
  • Administration
    • Structure
    • Departments
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Units
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • District
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Councils
    • Arusha CC
    • Arusha DC
    • Meru DC
    • Monduli DC
    • Karatu DC
    • Longido DC
    • Ngorongoro DC
  • Investment Opportunities
    • Tourism
    • Livestock
    • Agricultre
    • Industrial
  • Our Service
    • Health
    • Education
    • Water
    • Land
    • Tourism
  • Publications
    • Guidelines
    • Procedures
    • Reports
    • Acts
    • Application Forms
  • Media Center
    • Press Release
    • Videos
    • Speeches
    • Photo Gallery
    • News
    • Events

ZINGATIENI MISINGI YA UTAWALA BORA KATIKA USIMAMIZI WA RASILIMALI WATU-MAJALIWA..

Posted on: November 4th, 2024


Waziri Mkuu Kassim Majaliwa ametoa wito kwa wasimamizi wote wa rasilimaliwatu wazingatie misingi ya utawala bora na weledi katika kuisimamia rasilimali hiyo katika Sekta ya Umma Barani Afrika.

Amesema kuwa kufanya hivyo kutasaidia kwa kiasi kikubwa kuwezesha kutoa huduma bora na kudumisha imani ya wananchi kwa Serikali zao.

Ametoa wito huo leo (Jumatatu, Novemba 04, 2024) alipomuwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika ufunguzi wa Mkutano wa Tisa wa Mwaka wa Mtandao wa Wasimamizi na Mameneja wa Rasilimaliwatu Katika Sekta ya Umma Barani Afrika (APS-HRMnet) jijini Arusha.

“Rasilimaliwatu ina mchango mkubwa katika kuiwezesha Serikali kufikia malengo ya maendeleo iliyojiwekea pamoja na Malengo ya Maendeleo Endelevu. Hivyo ninyi, kwa kuwa ni wataalam katika usimamizi wa Rasilimaliwatu mnao wajibu na dhamana kubwa ya kuhakikisha mnasimamia ipasavyo Rasilimali hiyo muhimu na ya thamani”

Amesema kuwa ili kuimarisha  usimamizi wa kimkakati wa rasilimaliwatu na kukabiliana na changamoto zake, viongozi hao wanapaswa kuendelea kutoa mafunzo ya mara kwa mara kwa  watumishi wao waendane na mabadiliko ya kidunia na waweze kufanya kazi kwa weledi.

Aidha, amewataka Kukuza ujuzi wa watumishi na kuwawezesha kujifunza stadi mpya kulingana na majukumu yao. “Ongozeni kwa maono, ubunifu, uadilifu na kuzingatia Sheria, Kanuni na Taratibu za Nchi husika katika kutumikia wananchi kwenye maeneo yenu”

Kadhalika, Mheshimiwa Majaliwa  amewataka viongozi hao kutafsiri kwa vitendo Dira ya APS-HRMnet ya kuunda mtandao thabiti wa kitaalamu wa mameneja wa rasilimaliwatu katika sekta ya umma kwa kufanikisha malengo ya huduma bora.

Kwa upande wake, Waziri wa Nchi Ofisi ya Rais, Menejimenti ya Utumishi wa Umma na Utawala Bora Mhe. George Simbachawene amesema kuwa mkutano huo umefanyika katika kipindi ambacho dunia ina changamoto zinazohitaji mijadala, kubadilishana mawazo ili kujibu masuala magumu yanayosababisha watumishi wa umma kutofanya majukumu yao sawasawa.

Announcements

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • View All

Latest News

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • View All

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
More Videos

Quick Links

  • Guildlines Towards the use of ICT In Government
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Related Links

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Public Servant Portal
  • Takwimu
  • TANAPA

World visitors tracker

world map hits counter

Contact Us

Other Contacts

   

Visitors Counter

writingMasterThesis

    • Privacy Policy
    • Disclamer
    • Sitemap
    • FAQ

Copyright ©2017 Arusha Regional Comissioner's Office. All rights reserved.