• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

DKT. MPANGO AFUNGUA JENGO LA WAGONJWA WA DHARURA HOSPITALI YA WILAYA YA MERU

Posted on: May 18th, 2023

Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania amewataka watumishi wa hospitali ya Wilaya ya Arumeru hususani kitengo cha dharura waendelee kufanya kazi kwa kujitoa ili kunusuru uhai wa wananchi kwani wengi wanaofika pale wanakuwa mahututi.

Kauli hiyo ameitoa baada ya kufungua jengo la dharura katika hospitali ya wilaya ya Meru.

"Hospitali zinaitaji watu wenye uadilifu na nidhamu ya kazi kwasababu wanakuwa wameshikilia uhai wa wananchi wengi"alisema.

Watumishi wametakiwa kuongeza upendo na huruma kwa wagonjwa wanaoletwa katika kitengo hicho cha dharura.

Amesema kazi kubwa ya Serikali ni kuhakikisha wananchi wanapata huduma bora na kwa karibu ndio maana fedha nyingi zimeletwa katika sekta ya afya ili kuendelea kuimarisha miundombinu yake.

Hali kadhalika Dkt. Mpango amewahasa wananchi wa Arumeru kuhakikisha wanatatua migogoro yao kwa amani na wakitaka kuishirikisha Serikali wafuate taratibu ili kuendelea kudumisha amani ya  Mkoa.

Aidha, amewasisitiza TARURA kurekebisha barabara za Hospitali hiyo huku TAMISEMI wakiangalia kwa jicho la kipekee hospitali hiyo.

Kwa upande wake, Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongella amesema barabara nyingi za wilaya ya Arumeru zinaitaji mitaro ya barabara kutokana na maeneo yake mengi kuwa juu kwenye Milima.

Amesema kwa uwekaji wa mitaro hiyo kutasaidia barabara zinazojengwa na Serikali kudumu kwa muda mrefu bila kuharibiwa na maji ya mvua.

Makamu wa Rais amelifungua jengo la dharura  katika hospitali ya wilaya ya Meru ambalo limegharimu kiasi cha Milioni 800 ikiwemo uwekaji wa vifaa tiba katika jengo hilo.


Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa