• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

ELIMU YA LISHE IKATOLEWE KATIKA NGAZI ZOTE

Posted on: February 23rd, 2023

Waratibu wa lishe ngazi ya Mkoa na Halmshauri Mkoani Arusha wametakiwa kwenda kutoa elimu ya lishe katika maeneo mbalimbali ikiwemo kwenye nyumba za Ibada, mashuleni,minadani na kwenye kamati za lishe za Kata.

Hayo yamesemwa na  Mkuu wa Mkoa wa Arusha John Mongella alipokuwa akizungumza na Kamati ya lishe Mkoa wakati wa kikao kazi cha tathimini ya lishe ngazi ya Mkoa.

Mongella amesema kuwa tathimini inayofanyika katika viashiria vya lishe haitoshi kujitathimini  na kujihakikishia kuwa elimu ya lishe inayotolewa imewafikia wananchi kwa kiwango kikubwa,bali mikakati madhubuti inatakiwa ijengwe mpaka kwenye Kaya kwa kuhakikisha kila mzazi ananatambua umuhimu wa lishe kwa familia.

Katika kusisitiza hilo amewataka Wakuu wa Wilaya na Wakurugenzi wa Halmashauri kwenda kusimamia agenda ya lishe kwa umakini ikiwemo kuhakikisha vikao katika ngazi zao vinafanyika kwa wakati na Wananchi wanapata uelewa wa kutosha kuhusu faida ya lishe wa Jamii.

"Ndugu zangu suala la lishe tusifanye nalo mchezo, lina mchango mkubwa sana katika maendeleo ya Nchi,lishe bora ndiyo inayochangia ustawi wa afya ya mwili na akili kwa watu wetu kwani ndipo wanapopatikana wataalamu mbalimbali katika sekta zote." Alisema Mongella

Akichangia mjadala huo,Katibu Tawala wa Wilaya ya Arumeru  James Chembe amesema katika kushughulikia suala la lishe ni vyema wataalamu kama maafisa Kilimo na Mifugo wakashirikishwa kwenye mpango kazi kwani kada zao zina mchango mkubwa katika masuala ya lishe bora.

"Hapo zamani tulikuwa tuna utaratibu kwa kila Kaya kuwa na bustani za mbogamboga na kuwa Mifugo ambayo ilisaidia upatikanaji wa vyakula vya lishe na maziwa,nashauri kurudishwe utaratibu wa kulima bustani katika shule zetu ili wanafunzi waweze kupata chakula bora wakiwa majumbani na shuleni.

Kwa upande wake Mkurugenzi Mtendaji wa Halmshauri ya Arusha, Sulemani Msumi amesema kuna haja ya kutungwa sheria itakayowabana wazazi ambao watakaidi kuchangia fedha za chakula katika shule ili wanafunzi waweze kupata chakula cha mchana kwani hii itasaidia kupunguza wimbi la watoto wengi kukosa chakula shuleni.

Kikao cha Tathimini ya afua za lishe ngazi ya Mkoa kimejumuisha robo ya kwanza naya pili katika mwaka wa fedha 2022/2023.

Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa