• Malalamiko |
    • Wasiliana Nasi |
    • Maswali ya Mara kwa Mara |
    • Barua Pepe za Watumishi |
Arusha Regional

Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Ofisi ya Rais Tawala za Mikoa na Serikali za Mitaa Mkoa wa Arusha

  • Mwanzo
  • Kuhusu Sisi
    • Historia ya Mkoa
      • Chimbuko/Asili ya eneo
      • Orodha ya wakuu wa Mikoa
    • Dira na dhima
    • Maadili ya msingi
    • Mikakati
  • Utawala
    • Muundo
    • Idara
      • Utawala na Rasilimali Watu
      • Mipango na Uratibu
      • Uchumi na Uzalishaji Mali
      • Miundombinu
      • Elimu
      • Serikali za Mitaa
      • Afya
      • Maji
    • Vitengo
      • TEHAMA
      • Sheria
      • Manunuzi na Ugavi
      • Fedha na Uhasibu
      • Ukaguzi wa Ndani
  • Wilaya
    • Arusha
      • Historia
      • Viongozi
    • Arumeru
      • Historia
      • Viongozi
    • Monduli
      • Historia
      • Viongozi
    • Karatu
      • Historia
      • Viongozi
    • Longido
      • Historia
      • Viongozi
    • Ngorongoro
      • Historia
      • Viongozi
  • Halmashauri
    • Halmashauri ya Jiji la Arusha
    • Halmashauri ya Arusha
    • Halmashauri ya Meru
    • Halmashauri ya Monduli
    • Halmashauri ya Karatu
    • Halmashauri ya Longido
    • Halmashauri ya Ngorongoro
  • Fursa za uwekezaji
    • Utalii
    • Ufugaji
    • Kilimo
    • Viwanda
  • Huduma zetu
    • Afya
    • Elimu
    • Maji
    • Ardhi
    • Utalii
  • Machapisho
    • Miongozo
    • Taratibu
    • Taarifa
    • Sheria
    • Fomu Mbalimbali
  • Kituo cha Habari
    • Taarifa kwa Vyombo vya Habari
    • Video
    • Hotuba
    • Picha Mbalimbali
    • Habari
    • Matukio

FEDHA ZA LISHE ZIPO ZAKUTOSHA-DKT.KIHAMIA

Posted on: March 4th, 2022

Katibu Tawala Mkoa wa Arusha Dkt. Athumani Kihamia amesema Serikali ya awamu ya sita imeshatoka fedha zote za lishe kwa Mkoa wa Arusha.

Ameyasema hayo alipokuwa akifunga kikao cha kamati ya lishe cha Mkoa, kilichofanyika katika Ukumbi wa Ofisi ya Mkuu wa Mkoa.

"Kilichobaki kwa sasa ni jukumu letu la kutekeleza wajibu wetu kwa kuhakikisha viashiria vyote vya afya katika lishe vinatekelezwa katika ngazi za Halmashauri".

Aidha, Dkt.Kihamia amewataka wadau wa lishe waendelee kutekeleza wajibu wao kwa nafasi yao na Serikali itafanya kwa nafasi yake ili kuinua zaidi swala zima la lishe katika Mkoa.

Nae,Afisa lishe Mkoa wa Arusha Bi. Rose Mauya amesema kwa ngazi ya Mkoa wameshajipanga kufanya ufuatiliaji wa karibu zaidi katika halmashauri zote ili kuhakikisha wanatoa fedha za lishe kwa watoto chini ya miaka 5.

Mkoa amewawekea Halmashauri utaratibu wa kuzipima kwa kutumia kadi maalumu zenye viashiria  vyote vya lishe, haya yamesemwa na Afisa ustawi wa Jamii bwana Denis Mgiye katika kikao hicho.

Vile vile, Dkt. Frida Mokiti  kutoka kanisa katoriki ameishauri Serikali kuongeza kasi ya usambazaji wa dawa za kuongeza damu katika vituo binafsi ili kuwezesha huduma hiyo kuwafikia watu wengi zaidi.

Mwakilishi kutoka taasisi inayojishughulisha na wanawake na watoto( center for women and children development) Bi. Hindi mbwego. amesema ni wakati sasa umefikia kwa watoto wa shule kupatiwa chakula wakiwa mashuleni ili waweze kuzingatia masomo yao.

Kamati ya lishe ya Mkoa imekutana na kufanya tathimini ya hali ya lishe kwa Mkoa wa Arusha na kuweka mikakatika ya kuondoa udumavu.



Tangazo

  • TAZAMA MATOKEO YA MTIHANI WA MOCK MKOA DARASA LA SABA 1 July 06, 2023
  • MATOKEO YA MOCK MKOA DARASA LA SABA 2 July 07, 2023
  • TAZAMA MATOKEO YA MOCK MKOA KIDATO CHA NNE July 07, 2023
  • Angalia Zote

Habari Mpya

  • RC MAKONDA ASHUHUDIA UTIAJI SAINI UJENZI WA BARABARA YA ESO - LONGDON NA UKUMBI WA MIKUTANO ARUSHA.

    April 03, 2025
  • RC MAKONDA ATAKA KUPEWA MAJINA YA WATENDAJI WANAOCHOCHEA MIGOGORO YA KIJAMII.

    March 28, 2025
  • KAMPENI YA MSAADA WA KISHERIA NI MAONO NA MAELEKEZO YA RAIS SAMIA- WAZIRI NDUMBARO.

    March 28, 2025
  • OFISI YA MWANASHERIA MKUU WA SERIKALI YAFANYIA KAZI MALALAMIKO WANANCHI WA MIANZINI ARUSHA.

    March 28, 2025
  • Angalia Zote

Video

UZINDUZI WA BARABARA YA WASO-SALE
Video Zaidi

Viunganishi vya Haraka

  • Mwongozo wa Matumizi ya TEHAMA Serikalini
  • SALARY SLIP
  • Taarifa ya Mapato
  • Taarifa za Shule (SIS)
  • Takwimu za Sekta ya Elimu (BEMIS)
  • Video

Viunganishi Linganifu

  • Ikulu
  • Utumishi
  • TAMISEMI
  • Portal ya Watumishi
  • Takwimu
  • TANAPA

Watembeleaji

world map hits counter

Wasiliana Nasi

Mawaliliano mengine

   

Idadi ya Wasomaji

writingMasterThesis

    • Sera ya Faragha
    • Kanusho
    • Ramani
    • Maswali ya Mara kwa Mara

Hatimiliki ©2018 Ofisi ya Mkuu wa Mkoa Arusha. Haki Zote Zimehifadhiwa